MKUU WA WILAYA YA MASASI AWASIRI CHIDYA
Mkuu wa wilaya ya Masasi awasili shuleni Chidya boys kusikiliza maoni au mapendekezo yao pia alizungumzia masuala mbalimbali kama vile matumizi ya simu, kuepukana na vishawishi pamoja na kuwahasa vijana kufanya mazoezi ya kutosha kuondoa miemuko ya penisi zao. Pia aliwashukuru kwa taaluma yao ipo juu ikiwa pamoja na nidhamu @sheibyboy newz.
No comments