New Songs

DIVA wa Clouds FM Analana.........!

Amini usiamini eti huyu ndiye anajiita Diva ambaye ni mtangazaji wa clouds Fm maarufu kwa jina lake halali Loveness, Diva ambaye ni kioo cha jamii cz yeye ni mtangazaji halafu ni msanii pia kwa kifupi ni mtu maarufu sana ambaye kuna baadhi ya watu wanapenda kuwa kama yeye, lakini cha ajabu na cha kustajabisha anadiriki kufanya mambo ambaye ni tofauti na jamii inavyomchukulia, ki kukweli kitendo cha mtangazaji huyu ambaye ni msanii kudiriki kuachia picha zinazoonyesha maungo yake kwa asilimia 80 mie kwa upande wangu namchukulia kama vile limbukeni na upumbafu kabisa, Diva hapaswi kufanya vitendo kama hivi kabisa ....Ila cjui ndio kutafuta kick au umaarufu kwenye Media cz siku wasanii wanatafuta kick kwa picha za ajabu ajabu.....kama unataka kick tafuta pesa utajulikana tu bila skendo achaga uzezeta ww Diva...shenzi kabisa....Nyambafu.....

No comments