Wiz Kalifa (Camron Thomaz) amekamatwa siku ya jumapili asubuhi baada ya kukutwa na bangi katika uwanja wa ndege wa El Paso Maafisa wa TSA waligundua kuwepo kwa kontena la chuma katika mzigo wake na hivyo kuamua kumsachi kujua kuna nini , na kugundua kuwa lilikuwa na bangi gram 0.5, amesema chief wa polisi wa El Paso Gregory K. Allen.Wiz Khalifa (26) alihukumiwa kwa kukutwa na bangi hizo na kupelekwa kituo cha polisi, na kutakiwa kulipa faini ya dola 300, ambazo zilitolewa na sasa yuko katika mchakato wa kuachiwa Licha ya kuwekwa katika jela ya kituo hicho cha polisi Wiz alijipiga picha (Cell-fie) na kutuma katika mtandao wa twitter
Wiz Khalifa akamatwa na bangi airport, akionekana kutokujali atuma picha twitter akiwa jela
Reviewed by admin
on
May 27, 2014
Rating: 5
No comments