BEST NASSO NDANI YA UKUMBI WA ULAYA ULAYA MATALAWANDA
Msanii wa Bongo fleva Best Nasso Usiku wa Christmass ya tarehe 25/12/2014 kuamkia tar 26/12/2014 alikuwa katika ukumbi wa ULAYA ULAYA, MATALAWANDA kata ya Magoma. Kwa mujibu ya vyanzo vyetu Best Nasso aliwasili saa 3 Usiku ingawa wengi wao hawakuamini juu ya ujio wake. Japo kuwa alikuwa na kiongozi wa Ulaya AHAMAD Pamoja na YASSIN maarufu kama MABUTU. SPONSORED BY SHABAN MGAZA
No comments