New Songs

Picha: Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

Waziri Mkuu Mstaafu
Frederick Sumaye
ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala cha
CCM
na kujiunga na
CHADEMA/UKAWA.

Waziri Mkuu Mstaafu
Frederick Sumaye
ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala cha
CCM
na kujiunga na
CHADEMA/UKAWA
— Mtaki Gamba. (@MtakiGamba) August 22, 2015
Sumaye
ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga na
Chadema/Ukawa
baada ya
Mhe. Edward Lowassa
kufanya hivyo.

No comments